GREENWOOD AIFUNGIA BAO PEKEE MAN UNITED YAILAZA INTER MILAN 1-0 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

GREENWOOD AIFUNGIA BAO PEKEE MAN UNITED YAILAZA INTER MILAN 1-0

Kinda wa England mwenye umri wa miaka 17, Mason Greenwood (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao pekee dakika ya 76 ikiilaza 1-0 Inter Milan leo katika mchezo wa kitafiki Kombe la Mabingwa wa Kimataifa leo Uwanja wa Taifa wa Singapore Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More