GRIEZMANN AFUNGA MABAO YOTE UFARANSA YAICHAPA UJERUMANI 2-1 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

GRIEZMANN AFUNGA MABAO YOTE UFARANSA YAICHAPA UJERUMANI 2-1

Antoine Griezmann akiinua mkono juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao yote mawili Ufaransa dakika ya 62 akimalizia pasi ya beki Lucas Hernández na dakika ya 80 kwa penalti baada ya Blaise Matuidi kuangushwa kwenye boksi katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ujerumani kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Bao la Ujerumani lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 14 kwa penalti pia Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More