Guardiola afuatilia nyendo za Kocha Man United - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Guardiola afuatilia nyendo za Kocha Man United

Guardiola, ambaye ni kocha wa Manchester City, mahasimu wakubwa wa wababe hao wa Old Trafford, amesema Solskjaer ana kila sababu ya kuwana furaha kutokana na kuwa na mwanzo mzuri kabisa katika ajira yake hiyo ya ukocha kwenye kikosi hicho.


Source: MwanaspotiRead More