Gumzo kutekwa kwa bilionea Mo Dewji - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gumzo kutekwa kwa bilionea Mo Dewji

Mapema leo asubuhi katika hoteli ya Colosseum,  hali ya sintofahamu iliwashangaza na kuwapa hofu Wateja na hata walio karibu na hoteli hiyo baada ya kusikika kwa mlio wa risasi ambao haukufahamika kwa haraka nani aliyeifyatua risasi hiyo. Lakini baada ya sekunde kadhaa ndipo majirani wa hoteli hiyo wakashuhudia kumuona mfanyabiashara na bilionea mkubwa Afrika,  Mohammed


Source: Kwanza TVRead More