Gyan “Mimi ni chui, waandishi hawanitishi” - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gyan “Mimi ni chui, waandishi hawanitishi”

Nahodha wa timu ya taifa ya Ghana Asamoah Gyan ameviomba vyombo vya habari vya Ghana kuwa vitumie muda kuhamasisha timu yao ya taifa na mashabiki kwa ujumla katika safari yao ya Misri kuliko kuwekeza muda mwingi kuchimba madhaifu pekee.


Timu ya taifa ya Ghana ina ukame wa miaka 37 tokea itwaje taji la mataifa huru Barani Afrika.


“Najua mapungufu ni mengi sana katika timu yetu ya taifa. Nafahamu piaa media zimechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya soka hapa nchini lakini wasikatishwe tamaa na changamoto ambazo zinaibuka kila kukicha.” Gyan
“Mimi nina roho ya chui sitetereki hata kama nikikosolewa, nishazoea. Hofu yangu kubwa ni kwa vijana wapya kwenye kikosi hawajakomaa kuvumilia matatizo.”


“Sijasema media zisikosoe, la Hasha! Wakosoea lakini washauri pia. Lengo letu sote ni moja, kuhakikisha tunanyakua taji hilo.” Gyan... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More