Gyvermeena Alivyoweza ku save 9Ml katika #zezekibubuchallenge ,Plus Tips alizotumia kufikia Lengo - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gyvermeena Alivyoweza ku save 9Ml katika #zezekibubuchallenge ,Plus Tips alizotumia kufikia Lengo

Shuhuda za #Zezekibubuchallenge zinaendelea ,leo tupo na Gyver Meena ambaye ni mkurugenzi wa gyverbeautyspa & @gyverluxuryhair  .

My Name is @QueenGyvermeena
Owner @gyverbeautyspa & @gyverluxuryhair
My kibubu challenge 2018..was very successful..
my goal was to expand my business 
My target was 6.8mil but manage to save 9mil .. thank you Shamim for inspiring us to do #zezekibubuchallenge .. .

.✨Saving .
.✨inahitaji discipline. .
.✨Inahitaji mwendelezo
.
. ✨Inahitaji uwe na malengo .
✨Inahitaji uwe Una track ur goals kwa siku kwa week na Kwa mwezi
.
.✨Inahitaji uwe unajua budget yako kwa mwezi, Itakusaidia saving yako iwe rahisi unakuwa unanunua Vitu kwa mipango.. .
.✨Unahitajika kujua kipi Cha lazima na kipi si cha lazima na kipi kisubiri. .
✨Ili uweze kujua unataka nin next na malengo yako inakupasa kujiandaa .
.
.✨Na pia yakupasa kuwa na fikra chanya .. usikae na watu wanakuambia iyo target mbona hutaweza .. ka mbali na watu wanaowaza negative .
.✨Kuwa karibu n... Continue reading ->
Source: 8020 FashionsRead More