H-TOWN OLD SCHOOL REUNION 2019, HOUSTON, TEXAS, LOADING...... - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

H-TOWN OLD SCHOOL REUNION 2019, HOUSTON, TEXAS, LOADING......

H-Town Old School Reunion 2019 kufanyika March 22 na 23 Houston, Texas kaa mkao wa kula ikiwemo Bonanza la mpira wa kikapu na soka la Simba na Yanga inayosubiliwa kwa hamu Houston na vitongoji vyake. Timu ya YangaTimu ya SimbaImage result for OLD SCHOOL OHIO VIJIMAMBOTimu ya mpira wa kikapu
RATIBA NI KAMA IFUATAVYO
Ijumaa March 22, 2019 ni *Karibu Night* Music policy ni *NEW SCHOOL* by Houston Dj’s Crystal Palace Party Hall12450 Bissonnet #220Houston, TX. 77099Jumamosi March 23 Litaanza bonanza la kikapu na baadae mpira wa Simba na YangaBaadae Usiku kutakuwa na *Old School Party* usikose burudani kutoka kwa The Legendary DJs Luke Joeaka Mix Master Akishirikiana na DJ DENNIS FUNKHOUSE
Crystal Palace Party Hall12450 Bissonnet #220Houston, TX. 77099
Cover ChargeSept - DecFri $10Sat $20*Jan-March 22*Fri $20 couple $30Sat $30 Couple $50Kulipia mlangoniFri $30Sat $40Lipia kupitia CashApp Luke Joe 301 661 6696 au Gloria Alex 336 214 0218-Tuma lisiti/jina kamili*Stay tuned more details to come!!... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More