Haina jinsi, Juan Cuadrado akabidhi jezi kwa mwenye namba yake - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Haina jinsi, Juan Cuadrado akabidhi jezi kwa mwenye namba yake


Baada ya kukamilika kwa uhamisho wa Cristiano Ronaldo kutua klabu ya Juventus, mashabiki wa Turin wanahitaji mchezaji huyo kukabidhiwa jezi ya namba yake halisi.Katika zoezi hilo la jezi anaepoteza zaidi ni kiungo wa Colombia, Juan Cuadrado ambaye anavaa namba saba kabla ya ujio wa Ronaldo.Mcolombia, Juan Cuadrado kiroho safi amekubali kumuachia jezi hiyo mchezaji mpya wa Juventus, Cristiano Ronaldo baada ya kuandika kwenye mtandao wake wa Twitter kuwa ni heri kumkabidhi. ”Ni vema zaidi kutoa kuliko kupokea,” amesema Cuadrado.

Cristiano Ronaldo mwenye umri wa miaka 33 amejiunga na Juventus ya nchini Italia juzi kwa dau la pauni milioni 105 akitokea Real Madrid.Más bienaventurado es dar que recibir; bendiciones 🙏🏾 Panita @cristiano en esta nueva aventura 💪🏾💪🏾#FinoAllaFine #ForzaJuve🏳️🏴 pic.twitter.com/MYAMcjVyxi


— Juan Cuadrado (@Cuadrado) July 11, 2018Ronaldo ambaye ni mshindi mara tano wa Ballon d’Or ametumia misimu tisa Madrid baada ya u... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More