Haji Manara anakwambia Njoo Taifa kibingwa Jumamosi uje uwape support Wafalme - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Haji Manara anakwambia Njoo Taifa kibingwa Jumamosi uje uwape support Wafalme

Andika historia yako kuja Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Jumamosi hii kuwashuhudia Mabingwa wa nchi Simba SC wakifuzu kuingia Robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika. 


Source: Issa MichuziRead More