Haji Manara Awachana BASATA Baada ya kuwafungia Wasafi. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Haji Manara Awachana BASATA Baada ya kuwafungia Wasafi.

Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amefunguka mwanzo mwisho kuhusiana na kufungiwa kwa nyimbo ya Rayvanny aliyomshirikisha Diamond ya Mwanza.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema; ”Sanaa kwa maana ya Art na hasa ya Mziki ni fumbo ni kitu kinachorandama na kuimba kwa njia za mafumbo,.


Siku za nyuma kuna bendi iliimba nyimbo ikiitwa Makumbele,hebu itafsiri moyoni hilo neno MAKUMBELE,lazma utaona ile bendi ilitukana ila kwao wao na kiuhalisia c tusi ni jina tu kama Yale ya kijapan.


Basata endeleeni kusimamia maudhui kiweledi ili hata anaefungiwa nyimbo yake au film yake asipate hata pakutokea,.


Hv Issa Matona leo angekuwa hai na zile nyimbo zake zenye maudhui mazuri zingepona kweli?


Kama sheria inaruhusu kuapeal maamuzi ya Basata ningeshauri kwa hili la nyimbo ya Nyegezi,Wasafi do that!!


Hv mtu siku akiimba neno linataja kitongoji cha Mchamba wima au Dole nyimbo yake itapona kweli? Mm nilipanga kutoa featuring na Chibu @diamondplatnumz inakisifia kitongoji cha Kunduchi na hote... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More