Haji Manara Awatupia Dongo Lingine Yanga - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Haji Manara Awatupia Dongo Lingine Yanga


Haji Manara Awatupia Dongo Lingine Yanga
n
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amekuja na kali nyingine juu ya watani zake wa jadi Yanga kuhusiana na michango wanayochangisha uwanjani.


Manara ameeleza kuwa kuelekea mechi yao na AS VITA ya Ligi ya Mabingwa Afrika watachangisha kupitia michango ya mashabiki wataongia uwanjani na si kwa kutumia bakuli.Kauli ya Manara imekuja kutokana na watani zao Yanga kutumia fursa wakati wa mechi kuchangisha viwanjani fedha ili kuisaidia klabu yao inayopitia kipindi cha mpito. ... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More