Hakimu atoa siku saba Hanspoppe aondolewe kesi ya kina Aveva - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hakimu atoa siku saba Hanspoppe aondolewe kesi ya kina Aveva

Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ametoa siku hizo saba kwa upande wa mashtaka baada ya wakili wa Takukuru, Leonard Swai kueleza kesi ilipangwa kwa ajili ya kutajwa na washtakiwa Aveva na Nyange wapo mahakamani.


Source: MwanaspotiRead More