Hakuna cha msalia mtume usipotekeleza sheria- Profesa Kikula - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hakuna cha msalia mtume usipotekeleza sheria- Profesa Kikula

Na: Rhoda James - SingidaMwenyekiti wa Tume ya madini, Profesa Idris Kikula amesema kutokujua sheria ya madini si kigezo wala sababu ya kukwepa adhabu ya ukiukwaji wa sheria hiyo na kuwataka wachimbaji wa madini kuzingatia na kufuata sheria na taratibu za kujihusisha na biashara hiyo.Ameyasema hayo jana tarehe 16 October 2018 mkoani Singida alipokuwa katika  kikao na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Rehema Nchimbi, Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo, viongozi wa wachimbaji wadogo pamoja na baadhi ya wachimbaji wadogo wa Jasi na madini ya dhahabu.
Profesa Kikula ameeleza kuwa, kazi ya tume ni pamoja na kutoa elimu kwa wachimbaji wa madini, Hii ni sababu kubwa ya kuwatembelea siku hii ya leo, “tumewatembelea ili kuwafundisha na kuwakubusha kuhusu sheria zilizopo pamoja na marekebisho ya sheria ya madini ya mwaka 2017”. 
Tunapita ili kutoa elimu katika masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na masuala ya kutuza kumbukumbu, mazingira na usalama migodini, utoaji wa tozo mbalimbali kwa mujibu w... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More