HAKUNA KAMA MZEE SMALL, BICHAU ALIA NA BODI YA FILAMU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HAKUNA KAMA MZEE SMALL, BICHAU ALIA NA BODI YA FILAMU


Na.Khadija seif,Globu ya jamii

MKONGWE wa tasnia ya Michezo ya kuigiza nchini Chausiku Salim a.k.a Bichau ameliomba  Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuchuja na kuzifanyia uhakiki filamu zinazooneshwa kwa sasa kutokana na nyingi kukiuka maadili ya kitanzania hasa kwa wasanii wa kike.

Akizungumza na Globu ya Jamii Bichau amesema kwa sasa nyimbo nyingi zimekua zikifungwa kutokana na mashairi kutumia lugha zisizo na maadili na kupelekea kuvunjika kwa mmomonyoko wa maadili, amesema bodi ya filamu ndio muhimili mkuu katika kuweka vibali na Kuruhusu kazi za filamu kuoneshwa hivyo ni wakati wa kuweka vibali huku swala la maadili likizingatiwa na kupewa kipaumbele zaidi.

"kufanyia uhakiki filamu hizo kutokana na nyingi kukiuka maadili na kusababisha mmomonyoko kuvunjika siku hadi siku na kusababisha kuzalishwa kwa vijana wa hovyo, wenye tabia zisizofaa kutokana na kuigwa igwa huku wasanii wakiwa kama kioo cha jamii"

Aidha Bichau ameeleza wasanii wengi hawathamini mchango wa watu waliowafiki... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More