Hali Nne Unazozipata Pale Akili Yako Inapovuka Hali Ya Kawaida Na Kwenda Kwenye Hali Ya Kufanya Miujiza. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hali Nne Unazozipata Pale Akili Yako Inapovuka Hali Ya Kawaida Na Kwenda Kwenye Hali Ya Kufanya Miujiza.

Rafiki, Sisi binadamu tuna uwezo mkubwa sana ambao upo ndani yetu. Akili zetu zina uwezo wa kufanya makubwa sana. Na kabla hujaanza kujiuliza tunawezaje kufanya makubwa, kwanza angalia ushahidi uliopo. Anza na kifaa unachotumia kusoma maandishi haya niliyokuandikia, iwe ni simu au kompyuta, tambua kwamba karne moja iliyopita kifaa hicho hakikuwepo kabisa. Na wala hakuna... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More