Hali tete MNH: waliofariki ajali ya moto Moro wafika 97 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hali tete MNH: waliofariki ajali ya moto Moro wafika 97

IDADI ya majeruhi wa ajali ya Lori la mafuta ya petrol lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro, na kisha kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), inendelea kupungua baada ya wengine wawili kufariki dunia. Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Rosijo Mollel (35) alifariki jana mchana tarehe 18 Agosti 2019 ambapo Neema Chakachaka amefariki leo alfajiri ...


Source: MwanahalisiRead More