HALMASHAURI TUNDURU YAAGIZA KUFUATILIA UTENDAJI WA WATUMISHI WAKE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HALMASHAURI TUNDURU YAAGIZA KUFUATILIA UTENDAJI WA WATUMISHI WAKE

Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma wa Hospitali ya wilaya ya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole akiongea na wazazi wa kijiji cha Mchuluka kata ya Mchuluka wakati wa zoezi la uchunguzi wa vimelea vya ugonjwa Kifua kikuu kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano ikiwa ni kampeni ya wilaya hiyo kutokomeza ugonjwa huo.
====
Serikali   wilayani Tunduru,imewaagiza viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kuwafuatilia  kwa karibu  watumishi wake  juu ya utendaji wao ili kubaini kama kweli wanawajibika  katika kuwatumikia Wananchi.
Agizo hilo limetolewa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa wilaya hiyo Juma Homera ,  katika kikao chake na  wanawake wa kijiji cha Mchuluka waliokusanyika katika Zahanati ya kijiji hicho wakipata huduma ya Kliniki.
Pia Mkuu wa wilaya alizindua  zoezi la uchunguzi wa ugonjwa wa  kifua kikuu kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano iliyoendeshwa na kitengo cha kifua kikuu  Hospitali ya wilaya ya Tunduru ikiongozwa na Dkt Mkasange Kihongole.
Alisema, lengo la Serikali ni ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More