HALMASHAURI YA MJI WA MAFINGA YAPATA HATI SAFI KUTOKA KWA CAG - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HALMASHAURI YA MJI WA MAFINGA YAPATA HATI SAFI KUTOKA KWA CAG

Makamu mwenyekiti wa halmashauri hiyo Zakaria Vang’ota akiwa sambamba na kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Mji wa Mafinga Francis Maghembe waalisema kuwa kupatikana kwa hati safi katika Halmashauri hiyo kutachochea zaidi kasi ya utendaji kazi ili kuweza kufikia malengo yaliyokusudiwaBaadhi ya madiwani na watendaji wa halmasahuri ya Mji wa Mafinga wakifuatilia kwa umakini ripoti ya CAG wakati wa baraza maalum la halmashauri hiyoNA FREDY MGUNDA,MAFINGA.
HALMASHAURI ya mji wa Mafinga imefanikiwa kupata hati safi kutokana na utendaji bora,usimamizi wa miradi ukusanyaji mapato kwenye vyanzo vyake vya ndani katika kipindi cha mwaka 2018-2019.
Akizungumza kwenye kikao maalumu cha baraza la madiwani wa halmashauri hiyo kwa lengo la kusoma rasmi taarifa ya CAG kwa niaba ya mkuu wa mkoa, Kaimu Katibu tawala wa mkoa wa Iringa, Lucas Kambelenje alisema Halmashauri hiyo imeweza kupata hati safi katika kipindi cha mwaka 2018 -2019 kutokana na watendaji wake wakiwemo madiwani kufanya kazi kwa u... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More