HALMASHAURI YA MKURANGA YARUDISHA ENEO LA DUNDANI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HALMASHAURI YA MKURANGA YARUDISHA ENEO LA DUNDANI

HALIMASHAURI ya Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani imelirudisha eneo la Dundani ililolichukua kwa madhumuni ya kufanya shughuli za uwekezaji wa viwanda na kulirudisha mikononi mwa wananchi.
Eneo lililorudishwa ni lenye ukubwa wa hekari 325 ambalo lilifanyiwa utahmini kati ya hekari 700 zilizochukuliwa na Halmashauri hiyo kwa lengo la kulifanya kuwa eneo la uwekezaji.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Dundani, ambao maeneo yao yalichukuliwa na Halmashauri hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Sanga alisema kuwa nia ya serikali ilikuwa njema sana na sulala hilo liliangaliwa kwa umakini na viongozi wa Halmashauri hiyo.
Aidha alisema kwua viwanda vingi vilivyojengwa  katika wilaya hiyo vilijengwa kiholela hivyo kusababisha usumbufu na madhara kwa wakazi wa maeneo hayo ikiwemo kutiririsha maji machafu ya viwandani na kukosa njia za kupita.
Mkuu huyo wa Wilaya amesema Ofisi yake kwa kushirikiana na kamati teule ya wananchi wenye maeneo na wataalamu waliopo ofin... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More