Halotel, Biko kunogesha michezo msimu wa sikukuu. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Halotel, Biko kunogesha michezo msimu wa sikukuu.


      Na.Khadija seif,globu ya jamii
KAMPUNI ya Mawasiliano ya simu za mkononi ya Halotel nchini  imeingia katika makubaliano rasmi na kampuni ya michezo ya kubahatisha na kubashiri ya Biko ili kuongeza msisimko na ushiriki kwa wadau wa michezo hiyo nchini katika msimu wa huu sikukuu.
Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Ofisi za Halotel Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Halotel Mhina Semwenda amesema ushirikiano huu baina ya Kampuni ya Halotel na Biko utawezesha wateja wetu kuweza kushiriki na kupata fursa ya kujishindia fedha zitazowawezesha kujiongezea kipato na hivyo kuboresha maisha yao.
Pia ameeleza kuwa hii ni fursa kwa wateja  wote wa Halotel mijini na vijiini kuweza kushiriki katika michezo ya kubahatisha na kubashiri kama vile mpira wa miguu , mpira wa kikao,rugby,cricket,Tennis na mingineyo ambapo hapo kabla hawakuweza kupata fursa kushiriki katika michezo hiyo.
Kwa upande wake Meneja Masoko Biko Goodhope Heaven  amefafanua kuwa Biko ni kampuni kubwa na madhubut... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More