Halotel watangaza vifurushi vipya - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Halotel watangaza vifurushi vipya

Kwa miaka mingi tuu mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi yamerahisishwa na kuwa ya gharama nafuu sana tangu kutokana na uwezo wa kujiunga kifurushi/vifurushi kwenye mtandao wa simu husika. Ushindani kwenye makampuni ya simu upo kila uchwao kwa kila mhusika kujaribu kuja na kitu kizuri kuvutia wateja wake na hata kupata wateja wapya. Halotel [...]


The post Halotel watangaza vifurushi vipya appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More