Halotel yazindua kifurushi kisicho na kikomo cha mazungumzo na data - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Halotel yazindua kifurushi kisicho na kikomo cha mazungumzo na data

Kampuni ya mawasiliano ya Halotel imezindua kifurushi kipya kisichoisha kitakachowawezesha wateja wake kufanya mawasiliano bila kikomo. Kifurushi hicho kinakachofahamika kama ‘SuperHalo‘ wateja wa Halotel watakaojiunga na kifurushi ambacho watapiga simu au kutumia intaneti hadi kitakapokwisha bila kujali muda wa kujiunga. Mkuu wa kitengo cha mawasiliano kwa umma wa kampuni hiyo, Mhina Semwenda amesema kifurushi hicho [...]


The post Halotel yazindua kifurushi kisicho na kikomo cha mazungumzo na data appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More