Hamisa Mobetto Amewaacha Mbali Aslay, Mbosso na Maua Sama - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hamisa Mobetto Amewaacha Mbali Aslay, Mbosso na Maua Sama

Msanii wa Bongo fleva na mwanamitindo maarufu Hamisa Mobetto amezidi kufanya vyema katika ulimwengu wa muziki baada ya video yake kushika namba moja Kwenye mtandao wa Youtube.


Hamisa Mobetto ambaye ndio kwanza ametoa Single yake ya kwanza inaitwa ‘Madam Hero’ ameonekana kung’aa mara baada ya video yake hiyo kufanya vyema zaidi.


Mpaka muda huu video hiyo inatrend namba moja Kwenye mtandao wa kijamii wa Youtube kwa Tanzania na kukimbiza video za wasanii wakali wanaofanya vizuri nchini kama Mbosso na ngoma yake ya Hodari, Aslay na wimbo wake wa Kwatu na Maua Sama na kiokote.


View this post on Instagram#1 Trending on Youtube 🙌🏽🔥 …….. Ahsanteni wapenzi ahsante sana😩 Mungu awabariki mnooo. #thisisonlythebeginning ❤❣❤ #madamhero link on my Bio☝🏽


A post shared by HamisaMobetto (@hamisamobetto) on Sep 19, 2018 at 11:08pm PDT

Hii sio mara ya kwanza kwa Mobetto kusikika akiimba ameshasemekana kuweka vocal Kwenye ngoma ya Jibebe ya Diamond Platnumz.


The po... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More