Hamisa Mobetto amtambulisha mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Diamond Platnumz - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hamisa Mobetto amtambulisha mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Diamond Platnumz

Mwanadada na mwanamitindo kutoka Tanzania Hamissa Mobetto amemtambulisha mpenzi wake mpya baada ya kuachana na baba mzazi mwenzie ambaye pia ni msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Hamisa ameweza kupost picha akiwa na mwanaume huyo ambaye jina lake halijajulikana mpaka sasa hivi, ila ikumbukwe kuwa Hamisa kwa sasa yuko nchini Marekani katika tua yake akiwa na msanii Christian Bella.


Hamissa ameandika ” Roho mkalia moyo”By Ally Juma


The post Hamisa Mobetto amtambulisha mpenzi wake mpya baada ya kuachana na Diamond Platnumz appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More