Hamisa Mobetto atua Kenya na kupokewa mchekeshaji huyu (Audio) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hamisa Mobetto atua Kenya na kupokewa mchekeshaji huyu (Audio)

Mwanadada Hamisa Mobetto Jumatatu hii ametua nchini Kenya na kupokelewa na mchekeshaji, ChipuKeezy ambaye kwa sasa anaendesha kipindi kimoja cha TV nchini humo. Hatua hiyo ni siku moja toka Diamond ampost mama watoto wake wa zamani Zari na kueleza kwanini hawezi kuanika mambo ya Zari mtandaoni tofauti alivyofanya kwa Mobetto. Wawili hao waliingia kwenye mgogoro wa kutupiana maneno toka Diamond anyake sauti ya Mobetto akizungumza na mtu anayedaiwa kuwa ni mganga wa kienyeji.The post Hamisa Mobetto atua Kenya na kupokewa mchekeshaji huyu (Audio) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More