Hamisa na mpenzi wake mpya mahaba kama yote ‘Penzi letu raha sana’ (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hamisa na mpenzi wake mpya mahaba kama yote ‘Penzi letu raha sana’ (Video)

Mwanamitindo Hamissa Mobetto anaendelea kula bata na mpenzi wake mpya ambaye anadaiwa kuwa ni mchezaji wa Basketball.Mrembo huyo ambaye alifanikiwa kuzaa mtoto mmoja na Diamond Platnumz na baadae kuachana, ameonekana kuwa na furaha toka awe na upenzi wake huyo mpya.


Wiki hii amekuwa akipost video mfululizo akiwa na mwanaume huyo huku akiandika ujumbe ambao unaonyesha wawili hao wanapendana sana.Ila Penzi Letu Raha Sana 😩🙌🏽❤️🎊.

.

.

#IlaMeBilaHuyuSiweziJaman🙌🏽

#YaniApoNimepakatwa🙆🏽‍♀️

#IlAnavyontazamaYaarab😩😍🙌🏽☺️


Mrembo huyo alienda Marekani kwaajili ya show pamoja na shughuli zake binafsi.


The post Hamisa na mpenzi wake mpya mahaba kama yote ‘Penzi letu raha sana’ (Video) appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More