Hamisa Nae amjibu Diamond Kwa Hili. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hamisa Nae amjibu Diamond Kwa Hili.

Baada ya mwanamuziki  Diamond platinumz kutoa dongo kwa mwanamke aliyewahi kuwa nae katika mahuisano  Hamisa Mobeto kwa kumwambia kuwa anajua bado anamtamani lakini akae mbali nae kwa sababu mwili wake unapendwa na wengi atapata stress , Hamisa nae kaamua kumjibu Diamond kwa kejeli.


katika maneno hayo ambayo Hamisa alijionyesha kama anaimba wimbo flani lakini anatuma ujumbe kwa mwanaume huyo anasema kuwa Diamond alishindwa kumtunza kama mwanaume mwenye pesa na kwamba mapenzi yaliziwa na maisha na ndio maana iliwabidi waachane,


hukua na uwezo wa kunitreat kama millionaire, mapenzi yakazidiwa na maisha and we had to break somewhere,….sikuamini maneno yako na sikupenda the way they sounded,,wala aahadi zako hazikufikia what i wanted..
Hayo ni majibu baada ya diamond kumkshifu na kumwambia kuwa hawezi ku-handle stress za wanawake wengine kwa sababu yeye anapendwa na wengi.


The post Hamisa Nae amjibu Diamond Kwa Hili. appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More