HAMISI SWALEHE: BAJAJ YA SPORTPESA IMENIZALIA 'BODA BODA' MBILI ZINAKULA VICHWA YOMBO VITUKA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HAMISI SWALEHE: BAJAJ YA SPORTPESA IMENIZALIA 'BODA BODA' MBILI ZINAKULA VICHWA YOMBO VITUKA

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
HAPO kabla isingekuwa rahisi sana kueleza namna ambavyo unaweza kubashiri michezo kadhaa na ukafurahia ushindi mara mbili kwa kujishindia fedha taslimu na bajaji.
Lakini SportPesa tulikuja kuwaonyesha wateja wetu kwamba inawezekana kushinda zaidi kwa kukinyakulia bajaj mpya. 
Hili linathibitishwa na Hamisi Swalehe kutoka Yombo Vituka, ambaye anasema hapo kabla alikuwa anafanya shughuli zake kwa kubahatisha, lakini ujio wa SportPesa ulibadili mwelekeo wa maisha yake. 

Anasema baada ya kujishindia bajaj mpya na SportPesa ameweza kununua pikipiki mbili maarufu kama bodaboda ambazo zinamwingizia fedha kila siku. 
Kwa upande wa familia, Swalehe anasema mambo yamebadilika sana kwani bajaj imeifanya familia yake kuishi kwa furaha na uhakika. 
Huu ni ulikuwa mpango mkakati wa SportPesa kuboresha maisha ya wateja wake kwa njia rahisi na ya furaha bila kutumia nguvu, hii ndiyo SportPesa  ilivyogusa maisha ya wengi.... Continue reading ->Source: Bin ZuberyRead More