Hans Poppe kuondolewa kwenye kesi ya Aveva, Kaburu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hans Poppe kuondolewa kwenye kesi ya Aveva, Kaburu

HAKIMU mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Thomas Simba ametoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kubadilisha hati ya mashtaka ili kuwaondoa kwenye kesi aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe na Frank Lauwo kwenye kesi ya utakatishaji fedha inayowakabili Evans Aveva na Godfrey Nyange (Kaburu). Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Hakimu ...


Source: MwanahalisiRead More