Hapatoshi Safaricom Kisii Half Marathon kesho - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hapatoshi Safaricom Kisii Half Marathon kesho

Mabingwa mtetezi wa mbio za Safaricom Kisii Half Marathon, Philes Ongori na Joseph Koech, watakuwa na kibarua kigumu cha kutetea ubingwa wao katika makala ya 9 ya mbio hizo, zitakazofanyika kesho, mjini Kisii, Kenya.


Source: MwanaspotiRead More