Happy New Year From Mgece_CICI_Designs - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Happy New Year From Mgece_CICI_Designs

Designer Mgece Makory au kikazi zaidi anajulikana kwa Jina la Mgece cici designs ,amekuja kivingine kwa mwaka huu wa 2019 .

Akionyesha her brand new Logo na akiwa na wadada ambao wanafanya mengi kupitia sector mbalimbali.

I love her new logo Mgece,Shamim Mwasha,Mary Mgolle,Brenda Kinemo,Julda na Nacky


Source: 8020 FashionsRead More