Harakati za kumtafuta 'rais wa kwanza mwanamke' zaanza Kenya - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Harakati za kumtafuta 'rais wa kwanza mwanamke' zaanza Kenya

Huku juhudi za kisiasa pamoja na zile za kisheria kuleta usawa wa kijinsia kupitia kuwa na wanawake wengi katika nyadhfa za juu zikiendelea duniani, kipindi kimoja cha runinga kimeanza nchini Kenya kikiwa na lengo la kuendeleza mjadala huo mbele


Source: BBC SwahiliRead More