Harmonize aendeleza ushirikiano wake na Dully Sykes wa kufanya ngoma pamoja, waachia video ya ‘Nikomeshe’ (+ Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Harmonize aendeleza ushirikiano wake na Dully Sykes wa kufanya ngoma pamoja, waachia video ya ‘Nikomeshe’ (+ Video)

Msanii mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Dully Sykes ameachia kichupa cha wimbo wake mpya wa Nikomeshe aliomshirikisha Harmonize kutoka WCB, ambayo video yake imefanywa na Director Kenny kutoka Zoom Production.
By Ally Juma.


The post Harmonize aendeleza ushirikiano wake na Dully Sykes wa kufanya ngoma pamoja, waachia video ya ‘Nikomeshe’ (+ Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More