Harmonize Afunguka Baada Ya Raisi Kenyatta Kucheza Nyimbo Yake - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Harmonize Afunguka Baada Ya Raisi Kenyatta Kucheza Nyimbo Yake

Msanii wa muziki wa Bongo fleva kutoka katika label ya WCB Harmonize amefunguka Baada ya video kusambaa kwenye Mitandao ya kijamii inayomuonyesha Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa anacheza wimbo wake.


Video huyo ambayo inekuwa ikitrend kwenye Mitandao ya kijamii imemuonyesha Raisi Kenyatta akicheza Wimbo wa Harmonize ‘Happy birthday’ alipokuwa Anasheherekea Birthday yake.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize amemuandikia ujumbe wa shukrani dj wa Kenya ambaye alipiga wimbo huo ambao ulichezwa na Raisi Kenyatta Lakini pia Governor John.


View this post on InstagramHAPPY BIRTHDAY TO YOU BOSS…!!! RAILA ODINGA MORE LIFE…!!!! 🙏 THE WHOLE GOVERNMENT OF 254 🇰🇪❤ ON THIS 🎵🎵🎼🎶I SEE YOU MR PRESIDENT @ukenyatta AND GOVERNOR @joho_001#SONKO 🙏🙏 HAPPY PEOPLE THANKS ALOT MY BROTHER @mzaziwillytuva NA WATANGAZAJI PAMOJA NA DJ'S WOTE….!!! KWA KUIUNGANISHA EAST AFRICA ❤❤


A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz) on Jan 7, 2019 at 9:38am PST

 


The post Harmo... Continue reading ->
Source: Ghafla TZRead More