Harmonize Aomba Radhi Baada Ya Shoo Yake Kubuma Nchini Kenya - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Harmonize Aomba Radhi Baada Ya Shoo Yake Kubuma Nchini Kenya

Msanii wa muziki wa Bongo fleva kutokea katika label ya WCB, Harmonize amejikuta katika wakati mgumu baada ya shoo yake iliyokuwa ifanyike siku ya jana El Derot nchini Kenya kutofanyika na hivyo kulazimika kuomba radhi mashabiki zake.


Sakata hilo lilitokea baada ya Harmonize kushindwa kupanda jukwaani kutumbuiza baada ya Promota aliyemleta kushindwa kumalizia mkwanja wake kama walivyopatana.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Harmonize ameandika ujumbe wa kuwaomba radhi mashabiki ambao walitoa pesa nyingi kununua tiketi lakini wamejikuta wakikosa shoo kutoka kwa Harmonize;BINAFSI NAJUA KIASI GANI PESA INATAFUTWA KWA UGUMU BUT KWA MAPENZI YENU MLIJITOA KUJA KUNI SUPPORT SIO KWASABABU MIE NI SPECIAL SANA….!!! NI KWA UPENDO WENU TUU ILA KILICHONISIKITISHA NI PROMOTERS KUCHUKUA PESA ZA WATU WASIO PUNGUA 4000K THEN WAKASHINDWA KUJA KUMALIZIA PAYMENT ILIYOBAKI NA KUKIMBIA HII INAUMIZA SANA…!! (1) NI DALILI YA KUNIVUNJIA HESHIMA NA UAMINIFU KWA MASHABIKI ZANGU (2) IMENIUMIZA KUONA WATU ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More