Harmonize kumtoa Miss Kilimanjaro - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Harmonize kumtoa Miss Kilimanjaro

Mwanamuziki wa kundi la WCB, Harmonize atakonga nyoyo za mashabiki watakaojitokeza kushudia shindano la Miss Kilimanjaro litakalofanyika Jumamosi Julai 14 kwenye ukumbi wa Kili home mkoa wa Kilimanjaro.


Source: MwanaspotiRead More