Harmonize Wa Bongo Star Search Alikuwa Mbovu- Master J - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Harmonize Wa Bongo Star Search Alikuwa Mbovu- Master J

Mtayarishaji wa muziki wa Bongo fleva mkongwe kabisa nchini Master Jay ameweka wazi kuwa Harmonize wa Bongo Star Search hakuwa mkali kama wa hivi sasa.


Sio Siri Harmonize ni moja kati ya wasanii anayefanya vyema sana hivi sasa katika tasnia ya Bongo fleva lakini kabla ya mafanikio haya Hatmonize alishawahi kushiriki katika mashindano ya Bongo Star Search.


Kwenye mashindano hayo Harmonize alitolewa na kukosolewa lakini miaka michache baadae alikuja kusainiwa na Wasafi Records na mpaka leo ni Msanii mkubwa Tanzania.


Siku ya jana Shindano la BSS lilitangazwa kurejea Rasmi na moja kati ya jambo ambalo liliulizwa sana kwa Majaji ni Ishu ya Harmonize ambapo Master Jay ameweka wazi kuwa Wakati Harmonize anashiriki BSS alikuwa Msanii mbovu.Harmonize aliyekuja Kwenye BSS miaka ile alikuwa mbovu iko wazi kabisa hata mimi nimeweka ile clip Kwenye page yangu yaani Harmonize aliyekuja Kwenye BSS siyo huyu wa leo anayefanya vizuri”. 


The post Harmonize Wa Bongo Star Search Alikuwa Mbovu- Mast... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More