Harmorapa Amkingia Kifua Mange kwa Dudubaya, Atishia kumloga - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Harmorapa Amkingia Kifua Mange kwa Dudubaya, Atishia kumloga

Msanii Harmorapa aliewahi kupata umaarufu wake kupitia kiki za hapa na pale amefunguka na kuingilia skendo ya dudu Baya na Mange Kimambi kuhusu tuhuma za kuwataja ,ashoga katika mitandao ya kijamii kama ilivyokuwa imezana kusambaa kwa kampeni ya kuwakomesha mashoga.


Harmorapa anasema kuwa kama dudubaby anajifanya kumkingia kifua mange kimambi baada ya kuambiwa kuwa aache kutaja watu wanaojihussha na tabia hizo, Harmorapa anasema kuwa hata yeye ana uweoz wa kuwataja wale wote wenye mahusiano haramu na msanii huyo kwa sababu hata yeye anajua kuwa Dudubaya amekuwa akifanya mchezo huo mchafu.


Harmorapa ansema kuwa hamuogopi kabisa ududbaya na kwamba kama anajifanya kumtishai kutokana na mwili wake basi na yeye ananguvu za kishirikina kwaio anau weoz wa kumloga kwa sababua metoa uko umakondeni kijijini hivyo yuko vizuri.


Dudu baya aliwahi kutangaza katika mitandao ya kijamii kuwa harmorapa ni kuwadi wa wasanii na ndio hata yeye  anasema kuwa  anauweoz wa kutaja watu ambao na yeye aliwahi ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More