Haruna Shamte chuma chakavu kilichochapika hatari - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Haruna Shamte chuma chakavu kilichochapika hatari

Beki huyo wa kulia aliyewahi kutamba na Toto Africans, Simba, Mbeya City na Lipuli anasema fedha yake kubwa kuishika katika soka ilikuwa ni Sh100,000 kipindi hicho akiwa Toto Africans na anakumbuka ilikuwa mwaka 2007.


Source: MwanaspotiRead More