Hassan Wario: Aliyekuwa waziri wa michezo Kenya kushtakiwa kwa tuhuma za ufujaji wa fedha katika Olimpiki Rio - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hassan Wario: Aliyekuwa waziri wa michezo Kenya kushtakiwa kwa tuhuma za ufujaji wa fedha katika Olimpiki Rio

Balozi wa Kenya nchini Austria Hassan Wario ni miongoni mwa maafisa 7 wanaochunguzwa kuhusu madai ya ufujaji wa fedha za umma katika michezo ya Olimpiki mjini Rio 2016.


Source: BBC SwahiliRead More