HASUNGA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA,MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA KUTENGENEZA MITAMBO YA KUBANGUA KOROSHO YA ITALIA NCHINI TANZANIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HASUNGA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UINGEREZA,MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA KUTENGENEZA MITAMBO YA KUBANGUA KOROSHO YA ITALIA NCHINI TANZANIA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi Sarah Cooke mara baada ya kuwasili katika ofisi ndogo za wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi leo tarehe 2 Octoba 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi Sarah Cooke katika na ujumbe wake mara baada ya mzungumzo ya kikazi katika ofisi ndogo za wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam, leo tarehe 2 Octoba 2019.Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza na Mtendaji mkuu wa kampuni ya kutengeneza mitambo ya kubangua korosho ya Oltremare ya nchini Italia Ndg Stefano Massari katika ofisi ndogo za wizara ya Kilimo Jijini Dar es salaam, leo tarehe 2 Octoba 2019. Wengine pichani ni Dkt Maurizio Papaleo kutoka kampuni ya Oltremare na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya T Masasi Agro Bi Sarah MasasiWaziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More