HATIMAYE MBUNGE ABDALLAH MTOLEA AJITUPA CCM - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HATIMAYE MBUNGE ABDALLAH MTOLEA AJITUPA CCM

Katibu Mkuu Mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ali Kakurwa  akiwa na aliyekuwa Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea (CUF) (kushoto) aliyetangaza kujiuzulu leo Novemba 15, 2018 Bungeni Dodoma. Mtolea amevaa jezi la Chama cha Mapinduzi kuashiria kuwa ameshakuwa mwanachama wa chama hicho.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More