Hatimaye Pancho Latino azikwa kijijini Msingisi Gairo (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hatimaye Pancho Latino azikwa kijijini Msingisi Gairo (Video)

Hatimaye producer kutoka B Hits, Pancho Latino aliyefariki Jumanne hii kwa ajali ya maji Mbudya amezikwa Jumamosi hii na umati mkubwa wa watu kijijini kwao Msingisi Gairo. Wasanii, wadau wa sanaa pamoja na wananchi wa walijumuhika kwenye mazisho hayo.The post Hatimaye Pancho Latino azikwa kijijini Msingisi Gairo (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More