HATUJAIKAMIA SIMBA SC, MTIBWA SUGAR TUTAWAFUNGA - AZAM FC - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

HATUJAIKAMIA SIMBA SC, MTIBWA SUGAR TUTAWAFUNGA - AZAM FC


Na Agness Francis, Michuzi Tv. 
AFISA habari wa klabu ya Azam FC   Jaffary Iddy Maganga (pichani) amesema  baada ya kupoteza Mchezo uliopita dhidi ya Simba kwa kutoka  suluhu ya bila kufungana wanakaibiriwa tena na kibarua kizito cha kumenyana na Mtibwa Sugar ambayo ni timu kongwe na yenye uzoefu iliyopo ligi kuu muda mrefu. 

Afisa habari huyo akizungumza leo Jijini Dar es Salaam amesema kuwa Kutokana na matokeo ya mchezo ulioyopita dhidi ya wekundu wa msimbazi Simba uliopigwa katika uwanja wa Uhuru mei 13 mwaka huu Jijini Dar es Salaam kumezuka maneno kutoka kwa baadhi ya mshabiki na  viongozi wa klabu hiyo kuwa azam fc ilicheza kwa kukamia ili simba isiweze  kushinda na kuchukua ubingwa ligi kuu Tanzania bara. 
"Tulikwenda uwanjani kucheza na Simba kama Azam ikiwa tulishafungwa  bao 3-1 raundi ya kwanza  tukakubalina na matokeo, kwahiyo tulipoingia mchezo wa pili tulisoma wapi tulipotea na tusije tukapotea tena" amesema Jaffary. 
Aliongezea kwa kusema kuwa " Tumecheza na kupata ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More