Hatutamvumilia mtumishi atakayekuwa chanzo cha upotevu wa mapato serikalini – Nyongo - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hatutamvumilia mtumishi atakayekuwa chanzo cha upotevu wa mapato serikalini – Nyongo

Na Rhoda James- MorogoroNaibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo amewaeleza wahasibu wa madini nchini kuwa wizara haitamvumilia mtu yeyote ambaye atakuwa chanzo cha upotevu wa ukusanyaji wa mapato ya Serekali. Nyongo ameyasema hayo wakati akifunga Mafunzo ya Kielektroniki ya Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali ambayo yaliaanza tarehe 12 hadi 15 Novemba, 2018 katika Chuo cha Mazimbu Campus kilichopo mkoani Morogoro.
Naibu Waziri Nyongo amesema kuwa lengo la mafunzo hayo ni kuongeza tija na ufanisi katika ukusanyaji wa mapato  serikalini.  Akizungumza katika Kikao hicho Nyongo alisema kuwa Viongozi wote wako tayari kutoa msaada wowote masaa 24 hivyo kama kuna mhasibu ambaye atakuwa na uhitaji kwa masuala ya kikazi asisite kuwasiliana nao waati wowote. 
Aidha, Nyongo alieleza kuwa tasnia ya uhasibu ni ya muhimu sana katika sekta ya madini, hivyo ni vyema kila mmoja wetu kuhakikisha kuwa katika malengo yake akahakikisha kuwa anafikiria lengo la ndani la Wizara la ukusanyaji wa Bilioni 500 ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More