Hatutaolewa, mpaka kanisa liruhusu tuolewe kwa ndoa na mwanaume mmoja-Waongea kwa hisia mapacha waliofanana (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hatutaolewa, mpaka kanisa liruhusu tuolewe kwa ndoa na mwanaume mmoja-Waongea kwa hisia mapacha waliofanana (+video)

Kama kwenye familia yako umebahati kuishi na mapacha basi utakuwa upendo uliopo baina ya watu hao, na hili limejionesha kwa wanamitindo warembo zaidi nchini Argentina, Nadinne na Dannita ambao wanataka kuolewa na mwanaume mmoja.Wanamitindo hao ambao wamejipatia umaarufu nchini Argentina kupitia maonesho ya kimataifa ya mitindo, wamesema kuwa hawawezi kuishi mbali wameshazoeana toka utotoni na hata kuolewa wataolewa na mwanaume mmoja.


Mapacha hao ambao tayari wamefikisha miaka 30, kupitia mtandao maarufu wa brobible.com wamesema kama Kanisa Katoliki nchini humo halitaruhusu ndoa ya wanawake wawili basi hawataolewa mpaka kufa kwao.


“Hatuwezi kuishi tofauti au sehemu mbali mbali, sisi ni wamoja mpaka kufa. Tunasubiri maombi yetu kama Kanisa halitaruhusu tutaendelea kuishi kwa hivi hivi wawili bila kuolewa mpaka kufa kwetu,“wamesema wawili hao ambao wamekiri kuwa wamempata mwanaume mmoja ambaye amekubali kuwaoa.


View this post on InstagramOhhh ye... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More