Hawa Atoa Shukrani Zake Kwa Diamond na WCB Baada Ya Kumaliza Matibabu - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hawa Atoa Shukrani Zake Kwa Diamond na WCB Baada Ya Kumaliza Matibabu

Msanii wa Bongo fleva Hawa Said maarufu kama Hawa ntarejea wa Diamond amevunja ukimya Mara Baada ya kumaliza matibabu nchini India na kumshukuru Diamond na WCB.


Msanii Diamond Platnumz na timu nzima ya WCB ndio ilisimamia matibabu yote ya Hawa mpaka anapiga kabisa Baada ya kuugua mpaka kutaka kufa miezi michache iliyopita.


Mrembo huyo amemshukuru Mungu pamoja na Watanzania kwa dua zao kwani mpaka sasa anaendelea vizuri na uvimbe wa tumbo umeondoka kwa asilimia kubwa.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Babu Tale ameweka wazi salamu kutoka kwa Hawa:


View this post on InstagramMungu mkubwa hatimae Hawa anatabasamu tena. Acha Leo niamke usiku nisali kwa kumuombea @diamondplatnumz Mungu andelee kumfungulia na kumpunguzia mitihani ya kidunia hii iki ulichofanya hata nikuone umelala ndani ya chupa ya pombe siumii sana sababu naamini unahofu ya Mungu na unaupendo na watu. Basi kuna watu watanipigia wajue Hawa anarudi lini na sinto wajibu😂😂😂 ilaasante @shailara... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More