Hawa hapa Mastaa waliokipiga Ligi nyingi kubwa za Ulaya - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hawa hapa Mastaa waliokipiga Ligi nyingi kubwa za Ulaya

WAKATI staa wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo akijiunga na Juventus na hivyo kujikuta akicheza katika Ligi ya tatu kubwa barani Ulaya, kuna wachezaji ambao wanamtazama na kumkebehi kwa jinsi ambavyo wamezurura katika Ligi nne kubwa za Ulaya, England, Hispania, Ujerumani na Italia.


Source: MwanaspotiRead More