Hawa ndio waliotajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hawa ndio waliotajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or

Tuzo za mchezaji bora wa dunia anatarajiwa kutangazwa mshindi mwaka huu katika Sherehe ambazo zinatarajiwa kufanyika mjini Paris nchi Ufaransa mnamo Desemba 3 2018. Nyota wa Juventus Cristiano Ronaldo na mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, ni miongoni mwa wachezaji walioteuliwa kushindania tuzo ya Ballon d’Or mwaka huu.Kuna pia wachezaji wa Chelsea Eden Hazard na N’Golo Kante ambao wameongezwa kuwania tuzo hiyo kubwa kabisa duniani. Mshambuliaji wa Wales Gareth Bale anayechezea Real Madrid pia ameorodheshwa kushindania tuzo ya Ballon d’or. Waandaji wa tuzo hiyo watakuwa wakiwatangaza wachezaji watakaowania tuzo hiyo mwaka huu kwa mafungu siku yoyote hadi wafike wachezaji 30.ambapo hadi hivi sasa wametajwa wachezaji 15 u.Baadhi ya wachezaji Waliotangazwa kufikia sasa


Sergio Aguero (Manchester City)
Alisson (Liverpool)
Gareth Bale (Real Madrid)
Karim Benzema (Real Madrid)
Edinson Cavani (PSG)
Thibaut Courtois (Real Madrid)
Cristiano Ronaldo (Juventus)
Kevin de Bru... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More