Hawafanyi mazoezi, ila ukiwapa mpira utapenda - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Hawafanyi mazoezi, ila ukiwapa mpira utapenda

UNAI Emery kwa sasa anaripotiwa kuwa na shida juu ya kumtumia supastaa wa Kijerumani, Mesut Ozil. Pengine, Emery anahitaji kumpigia simu Arsene Wenger na kumuuliza namna nzuri ya kumtumia fundi huyo wa mpira ili akuletee matokeo mazuri uwanjani.


Source: MwanaspotiRead More